iqna

IQNA

mwaka mpya
TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Shekhe Mkuu wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri amesema chimbuko la dini za mbinguni ni moja na wanadamu wote wana udugu.
Habari ID: 3474770    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtaja Nabii Isa Masih au Yesu -Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake- kuwa ni nembo ya mapambano dhidi ya madhalimu.
Habari ID: 3474752    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia ujumbe wa pongezi viongozi na mataifa ya Wakristo kwa munasaba wa kuanza mwaka mpya wa 2019 Miladia.
Habari ID: 3471793    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/01/01

Tarehe 20 au 21 Machi husadifiana na tarehe Mosi Farvardin, siku ya kuanza mwaka mpya wa Kiirani wa Hijria Shamsia, siku ambayo ni maarufu kama Nowruz au kwa Kiswahili Nairuzi. Kuwadia kwa mwaka mpya wa Hijria Shamsia ambao aghalabu huadhimishwa Iran huenda sambamba na kuingia msimu wa machipuo na mabadiliko katika miti, mimea maua na majani.
Habari ID: 3470204    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/18